Wasiliana nasi
Tupigie au tuandikie
WhatsApp ni njia ya haraka. Kwa hali ya mzigo, ukurasa wa kufuatilia unajibu haraka kuliko sisi.
Ofisi zetu Tanzania
Hapa ndipo unachukua mzigo wako. Njoo na pickup note yako — kwenye simu au iliyochapishwa.
Dar es Salaam
Dar es Salaam office
Kariakoo, Agrey & Ndanda Street Opposite na Mkombozi Bank Dar es Salaam, Tanzania
Collection point.
Warehouse yetu Guangzhou, China
广州市白云区金沙洲环洲三路 ECAT 文化创意园 B 栈 121 及 218 室
ECAT Cultural Park, Huanzhou 3rd Road, Jinshazhou, Baiyun District, Guangzhou · Building B, Rooms 121 & 218
Bonyeza hapa kupata China addressKabla ya kutuandikia kuhusu mzigo
Kuwa na namba yako ya mzigo tayari — ipo kwenye lebo iliyowekwa kwenye mzigo wako. Nayo, tunaweza kujibu kwa ujumbe mmoja badala ya kumi.